208  Moyo Mwaminifu kwa Mungu

1

Ee Mungu! Ingawa hayana thamani nyingi Kwako,

ningependa kuyatoa Kwako.

Ingawa binadamu hawastahili kukupenda,

na upendo wao na mioyo yao haina thamani,

naamini kwamba unaweza kuona nia iliyomo ndani ya mioyo ya binadamu.

Na hata ingawa miili ya binadamu haifikii ridhaa Yako,

ningependa Wewe uweze kuukubali moyo wangu.

Mimi ni duni kuliko vumbi.

Siwezi kufanya chochote ila kuuto

amoyo huu mtiifu kwa Mungu.


2

Ee Mungu! Ingawa binadamu hawastahili kukupenda,

na upendo wao na mioyo yao haina thamani,

naamini kwamba unaweza kuona nia iliyomo ndani ya mioyo ya binadamu.

Na hata ingawa miili ya binadamu haifikii ridhaa Yako,

ningependa Wewe uweze kuukubali moyo wangu.

Siombi chochote katika maisha yangu ila fikira zangu za upendo kwa Mungu

na tamanio la moyo wangu kuweza kukubaliwa na Mungu.

Mimi ni duni kuliko vumbi.

Siwezi kufanya chochote ila kuuto

amoyo huu mtiifu kwa Mungu.


3

Ee Mungu! Ingawa binadamu hawastahili kukupenda,

na upendo wao na mioyo yao haina thamani.

Nilikuwa naye Bwana Yesu kwa muda mrefu,

ilhali sikuwahi kumpenda Yeye, hili ndilo deni langu kubwa zaidi.

Ingawa niliishi na Yeye, sikumjua,

na hata nilisema mambo fulani ambayo hayakufaafaa kama Hayupo.

Kufikiria kuhusu mambo haya kunanifanya kuhisi ni kana kwamba napaswa kumshukuru zaidi Bwana Yesu.

Mimi ni duni kuliko vumbi.

Siwezi kufanya chochote ila kuuto

amoyo huu mtiifu kwa Mungu.

Iliyotangulia:  207  Mwanadamu Anaweza tu Kuja Kumpenda Mungu kwa Kumjua Mungu

Inayofuata:  209  Petro Alishikilia Imani na Upendo wa Kweli

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Connect with us on Messenger