Chaguzi zilizo katika kitabu hiki zote ni maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho, zilizochukuliwa hasa kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili, Vol 1, Kuonekana na Kazi ya Mungu. Ni ukweli ambao kila mtu anayetafuta na kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho anahitaji kupata kwa haraka sana. Maonyesho ya Mungu katika kitabu hiki ni yale ambayo Roho Mtakatifu anayanena kwa makanisa kama ilivyotabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo. Maneno haya ya sasa ya Mungu ni ushuhuda bora wa kuonekana Kwake na kazi Yake, na vile vile ushuhuda bora wa ukweli kwamba Kristo ndiye ukweli, njia na uzima. Kitabu hiki kinanuiwa kuwawezesha wale wote wanaotamani kuonekana kwa Mungu waisikie sauti Yake haraka iwezekanavyo. Tunatumaini kwamba wote wanaosubiri kuja kwa Bwana na wanaotazamia kuonekana kwa Mungu na kazi Yake wataweza kusoma kitabu hiki.
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho
1Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 1
2Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 2
3Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 3
4Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 5
5Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 15
6Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 88
7Matamko ya Kristo Mwanzoni—Sura ya 103
8Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 4
9Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 5
10Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 6
11Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 8
12Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 10
14Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 12
16Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 26
17Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima—Sura ya 29
18Mtazamo Ambao Waumini Wanapaswa Kuwa Nao
19Mwanadamu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu
20Huduma ya Kidini Lazima Ipigwe Marufuku
21Katika Imani Yako katika Mungu Unapaswa Kumtii Mungu
22Ahadi kwa Wale Wanaofanywa Kuwa Watimilifu
24Jinsi ya Kutumikia Kulingana na Nia Za Mungu
25Kuhusu Mungu Kumtumia Mwanadamu
28Unapaswa Kujua Kwamba Mungu wa Vitendo Ni Mungu Mwenyewe
29Maarifa ya Kazi ya Mungu ya Wakati wa Sasa
30Je, Kazi ya Mungu Ni Rahisi Kama Mwanadamu Anavyofikiria?
31Unapaswa Kuishi kwa Ajili ya Ukweli Kwa Kuwa Unamwamini Mungu
32Radi Saba Zinanguruma—Kutabiri Kwamba Injili ya Ufalme Itaenea Katika Ulimwengu Mzima
33Tofauti ya Kimsingi Kati ya Mungu Mwenye Mwili na Watu Wanaotumiwa na Mungu
34Katika Imani, Mtu Lazima Alenge Uhalisi—Kushiriki katika Kaida za Dini Si Imani
35Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Sasa ya Mungu Ndio Wanaoweza Kumtumikia Mungu
36Ijue Kazi Mpya Kabisa ya Mungu na Ufuate Hatua Zake
37Mungu Huwafanya Kuwa Watimilifu Wale Wanaolingana na Nia Zake
38Wale Wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watapatwa na Mungu
39Enzi ya Ufalme Ni Enzi ya Neno
40Yote Yanakamilishwa kwa Neno la Mungu
41Wale Wanaopaswa Kukamilishwa Lazima Wapitie Usafishaji
42Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu
43Kumpenda Mungu tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
44Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umewadia”
45Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu
46Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu
47Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
48Kazi ya Roho Mtakatifu na Kazi ya Shetani
49Onyo kwa Wale Wasiotenda Ukweli
50Je, Wewe ni Mtu Ambaye Amekuja katika Uzima?
51Kubaki Bila Kubadilika katika Tabia Ni Kuwa katika Uhasama na Mungu
52Watu Wote Wasiomjua Mungu Ni Watu Wanaompinga Mungu
60Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili
62Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (1)
63Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (3)
64Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi (4)
65Unapaswa Kushughulikiaje Misheni Yako ya Baadaye?
66Je, Ufahamu Wenu Kuhusu Baraka Ni Upi?
67Ufahamu Wako Kumhusu Mungu Ni Upi?
70Majani Yanayoanguka Yanaporudi Kwenye Mizizi Yake, Utajutia Maovu Yote Ambayo Umefanya
71Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku ya Ghadhabu
72Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
73Kazi ya Kueneza Injili Pia Ni Kazi ya Kumwokoa Mwanadamu
75Historia ya Kweli ya Kazi ya Enzi ya Ukombozi
76Unapaswa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo
77Kuhusu Majina na Utambulisho
78Mnapaswa Kuachilia Baraka za Hadhi na Kuelewa Nia ya Mungu ya Kumletea Mwanadamu Wokovu
80Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu
81Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu Mwenye Mwili na Wajibu wa Mwanadamu
82Mungu Ni Bwana wa Viumbe Wote Walioumbwa
83Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea
84Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu
85Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu
86Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili
87Kiini cha Mwili Uliovaliwa na Mungu
88Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu
89Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni
90Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu
91Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja
92Kufikia Wakati Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu, Mungu Atakuwa Amefanya Mbingu na Ardhi Kuwa Mpya
93Wale Wasiolingana na Kristo Hakika ni Wapinzani wa Mungu
94Wengi Wanaitwa, lakini Wachache Wanachaguliwa
95Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo
96Je, Wewe Kweli Unamwamini Mungu?
97Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli
98Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Binadamu
99Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele
100Tayarisha Matendo Mema ya Kutosha kwa ajili ya Hatima Yako
101Wewe Ni Mwaminifu kwa Nani Hasa?
104Dhambi Zitamwongoza Mwanadamu Jahanamu
105Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu
106Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani
107Tatizo Kubwa Sana: Usaliti (1)
108Tatizo Kubwa Sana: Usaliti (2)
109Mnapaswa Kutafakari Matendo Yenu
110Mungu Ndiye Chanzo cha Uzima wa Mwanadamu
111Kutanafusi kwa Mwenye Uweza
112Kuonekana kwa Mungu Kumeileta Enzi Mpya
113Mungu Anashikilia Mamlaka Juu ya Hatima ya Binadamu Wote
114Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu
115Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake