312  Kutojali Kwako Kutakuangamiza

Usiwe mfuasi tu wa kumtazama Mungu, na usifuate kile kinachokufanya utake kuchunguza. Kwa kutokuwa moto ama baridi utajiangamiza na kuchelewesha maisha yako. Lazima ujitoe kutoka kwa utazamaji na kutofanya chochote na uwe wa kufuata vitu vyema na kuushinda udhaifu wako, ili uweze kupata ukweli na kuishi kwa kudhihirisha maisha ya ukweli. Hakuna kitu cha kuogopesha kuhusu udhaifu wako, na kasoro zako sio shida yako kubwa. Shida yako kubwa, na kasoro yako kubwa, ni kutokuwa baridi ama moto na kutokuwa na hamu ya kuutafuta ukweli. Shida kubwa na nyinyi wote ni hali ya uoga ambapo mnaridhika na hali ilivyo, na kungoja mkitazama tu. Hiki ndicho kizuizi chenu kikuu, na adui mkubwa kwa harakati yenu ya kutafuta ukweli.

Umetoholewa kutoka katika “Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:  311  Ukweli wa Leo Unapewa Wale Wanaoutamani na Kuutafuta

Inayofuata:  313  Napata Mengi Sana Kutoka kwa Hukumu na Kuadibu kwa Mungu

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Connect with us on Messenger