743 Ni Wale Tu Wamchao Mungu Ambao Huishi Kwa Heshima

Ikiwa huna moyo umchao na kumtii Mungu,

ikiwa huelewi ukweli, na unapotenda,

unachanganyikiwa na hujui kanuni za ukweli,

huna heshima.

Ishi kwa heshima, ishi kwa uadilifu,

na uwe na moyo umchao Mungu.

Ishi kwa heshima, ishi kwa uadilifu,

na uwe na moyo unaomtii Mungu.

Mahubiri ya juu sana ambayo umeyasikia na mafundisho unayojua,

ufahamu ulio nao, havitakuwa na maana hata kidogo.

Lazima urejee kwa yale yenye maana sana.

Lazima ufuatilie ukweli.

Ishi kwa heshima, ishi kwa uadilifu,

na uwe na moyo umchao Mungu.

Ishi kwa heshima, ishi kwa uadilifu,

na uwe na moyo unaomtii Mungu.

Fuatilia ukweli, tii na uogope.

Hili ni la msingi, ya kwanza kabisa!

Ishi kwa heshima, ishi kwa uadilifu,

na uwe na moyo umchao Mungu.

Ishi kwa heshima, ishi kwa uadilifu,

na uwe na moyo umchao Mungu.

Ishi kwa heshima, ishi kwa uadilifu,

na uwe na moyo unaomtii Mungu.

Umetoholewa kutoka katika katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:  742 Ni Wale tu Wanaomcha Mungu Ndio Wenye Furaha

Inayofuata:  744 Ushahidi wa Ushindi wa Ayubu Dhidi ya Shetani

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Connect with us on Messenger