783  Jinsi ya Kuchukulia Agizo la Mungu

Unapaswaje kuchukulia Agizo la Mungu? Hili ni jambo zito sana! Ikiwa huwezi kukamilisha kile ambacho Mungu humwaminia mtu, hufai kuishi katika uwepo wa Mungu na unapaswa kuadhibiwa. Ni amri ya mbingu na kanuni ya dunia ya mwanadamu kumaliza kile ambacho Mungu humwaminia; hili ni jukumu la juu kabisa la mwanadamu, muhimu kama maisha yake. Ikiwa hulichukulii Agizo la Mungu kwa uzito, basi unamsaliti Mungu kwa njia kuu zaidi; hili ni la huzunisha zaidi kuliko Yuda na linastahili kulaaniwa. Hivyo, Mungu anamwagiza mwanadamu: Huku ni kutukuzwa kukuu na mapendeleo maalum kutoka kwa Mungu, jambo la utukufu kuu zaidi. Kila kitu kingine kinaweza kuachwa—hata ikiwa itamlazimu mtu kutoa maisha yake bado lazima atimize Agizo la Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia:  782  Hii ni Taswira Kamili Kabisa ya Shetani

Inayofuata:  784  Lazima Utambue Maana ya Mateso Yako ya Sasa

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Connect with us on Messenger