Kitabu hiki cha nyimbo za dini kimegawanywa katika sehemu mbili kuu: Ya kwanza inajumuisha nyimbo za dini za maneno ya Mungu, ambazo zinajumuisha matamko yaliyo bora kabisa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na ya pili inajumuisha nyimbo za dini za maisha ya kanisa, ambazo ni ushuhuda halisi wa wateule wa Mungu uliotolewa baada ya kupitia hukumu Yake na ugumu na dhiki wakiwa wanamfuata. Nyimbo hizi za dini ni za faida kubwa kwa watu katika kufanya ibada zao za kiroho, kumkaribia Mungu, kutafakari maneno Yake, na kuelewa ukweli. Ni za faida kubwa hata zaidi kwa watu wanaopitia maneno ya Mungu na kuingia katika uhalisi wa maneno ya Mungu.
Vitabu Juu ya Kuingia katika Uzima
1Mwana wa Adamu Ashuka Duniani
2Natembea Katika Njia ya Kwenda kwa Ufalme
9Natamani Ningekuwa na Mungu Kila Siku
13Maisha Ya Kanisa Ni Ya Kupendeza Sana
19Mungu Mmoja wa Kweli Ameonekana katika Mwili
20Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Utukufu
21Mungu Yuko Kwenye Kiti cha Enzi
22Kristo wa Siku za Mwisho Anaonekana Mashariki
23Mwenyezi Mungu, wa Kwanza na wa Mwisho
29Mtukuze Mwenyezi Mungu Kwa Sauti Kubwa
34Ni Bahati Yetu Nzuri Kumhudumia Mungu
39Nitatii Mipango ya Mungu katika Kila Jambo
42Sifu Ushindi wa Mwenyezi Mungu
47Tunakusanyika kwa Furaha Kumsifu Mungu
52Maisha yetu Ni Furaha Isiyo na Mwisho
53Sifa kwa Mwenyezi Mungu Haitakoma Kamwe
56Ulimwengu Unatoa Sauti ya Sifa kwa Mungu
59Kazi Kuu ya Mungu Imekamilishwa
62Ona Anayemtolea Mungu Ushuhuda Mzuri
65Watu Wote wa Mungu Wamsifu Kikamilifu
71Mungu Amekuwa Akifanya Kazi Hadi Sasa, Lakini Kwa Nini Bado Huelewi?
72Mwimbie Mungu Nyimbo za Sifa Milele
75Mwenyezi Mungu Ameonekana Mashariki ya Dunia
76Hukumu Iliuzindua Moyo Wangu
77Sifu Kukamilika kwa Kazi Kuu ya Mungu
78Chezeni Mkizunguka Kiti cha Enzi
80Watakatifu Katika Enzi Zote Wanazaliwa Upya
82Fuata Mfano wa Petro na Utafute Kumpenda Mungu
86Lazima Tukutane Tena Siku Moja
92Ninaomba tu Kwamba Mungu Aridhike
95Neema ya Mungu ni ya Kina Kama Bahari
97Kumtamani Sana Mwenyezi Mungu
98Mandhari ya Ufalme ni Kama Mapya Daima
103Daima Natamani Sana Upendo wa Mungu
107Upendo wa Mungu Utakuwa Kati Yetu Daima
110Ee Mungu, Wajua Jinsi Ninavyokutamani Sana?
113Upendo wa Mwenyezi Mungu Ndio Safi Zaidi
116Nataka Kuwa Mwandani wa Mungu
120Ee Mungu! Siwezi Kuwa Bila Wewe
121Naomba Niwe na Mungu Milele
122Upendo wa Mungu Umeuyeyusha Moyo Wangu
125Kuwa Jasiri Katika Njia ya Kumpenda Mungu
126Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote
128Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu
129Kutembea kwenye Njia ya Kumpenda Mungu
131Wimbo wa Kumpenda Mungu Bila Majuto
132Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu
134Ufalme Wenye Haki wa Kristo Umetimia
136Ni Mwenyezi Mungu Anayetuokoa
137Ufalme wa Kristo Umeshuka Duniani
140Pamoja Kupitia Katika Upepo na Mvua Uaminifu Mpaka Kifo
144Ufalme Wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu
151Siwezi Kusema Yote Yaliyo Moyoni Mwangu
154Kupitia Katika Upepo na Mvua
157Ni Vizuri Sana Kwamba Mwenyezi Mungu Amekuja
161Sitapumzika Mpaka Nipate Ukweli
163Nimefurahia Upendo Mwingi wa Mungu
164Mbona Upendo Wa Kweli Ni Mgumu Sana Kupatikana Duniani
165Upendo wa Kweli Miongoni mwa Binadamu
168Ee Mpendwa Wangu, Nakutafuta Wewe
169Furaha Katika Nchi ya Kanaani
171Ufalme
172Popote Uendapo Nitaambatana na Wewe
173Ninatamani Kuona Siku ya Utukufu wa Mungu
176Kukimbia Kuelekea Njia ya Mwanga
178Sifa kwa Mungu Kutoka kwa Kizazi cha Moabu
179Moyo Wangu Hauhitaji Chochote Kingine
181Nitaukaribisha Uso Wako Unaotabasamu Utakapoonekana Mbele Yangu
183Wimbo Wa Kurudi kwa Mwana Mpotevu
184Mwenyezi Mungu, Moyo Wangu ni Wako
185Mungu Amenipa Upendo Mwingi Sana
186Kuwa Mtu Mpya na Uuliwaze Moyo wa Mungu
187Kristo wa Siku za Mwisho, Wokovu wa Mwanadamu
189Ee Mungu, Moyo Wangu Tayari ni Wako
190Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa
191Mfano wa Mtu Ampendaye Mungu
192Mungu Huwabariki Wale Wampendao
195Mwenyezi Mungu, Anayependeza Zaidi
197Binadamu Wote Wanakuja Kumwabudu Mungu
198Tunakusanyika Pamoja Kanisani
202Matamanio ya Dhati ya Kutubu
203Naomba Ukae Moyoni Mwangu Daima
204Niliumbwa na Wewe, Mimi ni Wako
206Mungu Mwenye Haki, Uweza na wa Utendaji
208Kusubiri Habari Njema za Mungu
209Kuinuka Katikati ya Giza na Dhuluma
210Moyo wa Mungu Haujaliwazwa Bado
211Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi
212Hakuna Moyo Ulio Bora Kuliko wa Mungu
213Mwishowe Naweza Kumpenda Mungu
214Ni Nani Anayeufikiria Moyo wa Mungu?
216Tunapaswa Kukimya Mbele za Mungu Daima
220Sisi ni Mashahidi wa Kristo wa Siku za Mwisho
221Nimekusudia Kumridhisha Mungu kwa Uaminifu
225Upendo wa Mungu Utukuke Milele na Milele
226Toba
227Jinsi ya Kurudisha Wokovu Uliopotea
228Wewe ni Maisha Yangu ya Kweli
230Rehema ya Mungu Ilinihuisha Tena
234Upendo wa Mungu Huuamsha Moyo Wangu
235Upendo wa Mungu Unasambaa Duniani
237Tuna Bahati Kukutana na Kuja kwa Mungu
239Sitaacha Majuto Moyoni Mwangu
240Kuna Maumivu Ndani ya Moyo Wangu
241Nisingekuwa Nimeokolewa na Mungu
245Upendo Wangu kwa Mungu Hautabadilika Kamwe
247Ukweli wa Maneno ya Mungu ni wa Thamani Sana
248Kujitafakari Hunipa Njia ya Kufuata
252Kufuatilia Ukweli Tu Ndiko Kunaweza Kuleta Uzima
254Tambua Kuwa Kristo Ni Ukweli Milele
255Ili Kuishi Mtu Lazima Awe na Ukweli
259Naishi Katika Uwepo wa Mungu
262Kuingia Katika Enzi ya Kumpenda Mungu
263Wale Wampendao Mungu Wanaishi Katika Nuru
264Furaha Yetu kwa Wokovu wa Mungu
265Njia Za Mungu Haziwezi Kueleweka
266Ni Furaha Kuu Sana Kuwa Mtu Mwaminifu
268Mataifa Yote Njooni kwa Mwangaza Wenu
269Nitalithamini Neno La Mungu
271Mungu Pekee Ndiye Bora Zaidi
273Wakati
274Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri
277Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho
278Wito wa Tarumbeta ya Hukumu Umesikika
280Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu
281Tunakuabudu, Mwenyezi Mungu Mwenye Mwili
283Ufalme Wa Kristo Ni Nyumbani Kwenye Joto
284Maisha ya Kanisa Huleta Furaha Kuu
286Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja
288Kumrudia Mungu ni Furaha ya Kweli
290Rudi
291Kukubali Ukweli ni Kuwa Mwanamwali Mwenye Busara
293Kutiwa Moyo na Upendo wa Mungu
296Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme
297Imba na Kucheza katika Sifa kwa Mungu
299Furaha Kubwa Zaidi ni Kumpenda Mungu Kweli
300Hatuwezi Kuacha Kuimba Nyimbo za Upendo kwa Mungu
302Mpendwa Wetu
303Mwenyezi Mungu, Mpendwa Wetu
304Kulipiza Upendo wa Mungu na Kuwa Shahidi Wake
305Kutafuta kwa Ajili ya Upendo
307Ni Mungu Mwenyezi Anipendaye
308Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ni Halisi Zaidi
309Mwenyezi Mungu Wetu Mpendwa
312Mungu Amelipa Gharama Kubwa Mno
314Nina Furaha Sana Kuishi Mbele za Mungu
315Nina Furaha Kuu Kupata Upendo wa Mungu
317Imani Katika Mungu ni ya Furaha Kweli
318Kutembea kwenye Njia Sahihi ya Maisha ya Binadamu
319Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu
321Wale Wanaompenda Mungu Wana Furaha Kweli
323Nitauweka Upendo wa Mungu Mawazoni Mwangu Siku Zote
324Ee Mungu, Moyo Wangu Utakupenda Daima
325Kumpenda Mungu ni Tamanio la Moyo Wangu
328Maneno Katika Mioyo ya Wakristo
329Kupitia Shida, Upendo Wangu kwa Mungu Unaimarishwa
331Nikiwa na Upendo wa Mungu, Sitaogopa
337Azimio Langu Huimarishwa Kupitia Mateso
342Ninaahidi Maisha Yangu Kumfuata Mungu Kwa Uaminifu
344Nimeona Moyo wa Mungu Ndio Unaopendeza na Karimu Zaidi
346Maneno ya Mungu Yaliuzindua Moyo Wangu
347Hukumu ya Mungu Huniokoa Kutokana na Dhambi
348Kutakaswa na Maneno ya Mungu
349Hakuna Majuto wala Malalamiko katika Kumpenda Mungu
351Kufuatilia Ukweli Kuna Maana Sana
354Pingu
357Kufanya Upya Kiapo Changu cha Kumpenda Mungu
361Kile Ambacho Waumini Katika Mungu Wanapaswa Kutafuta
362Yaliyopita Yananichoma Kama Upanga
363Mungu Amengoja Kwa Muda Mrefu Sana
364Thamini Sana Nyakati za Mwisho
366Mwishowe Naishi Kwa Kudhihirisha Mfano wa Bibinadamu
367Uzuri wa Mungu Daima Uko Mawazoni Mwangu
368Nimeona Jinsi Ukweli Ulivyo wa Thamani
369Upendo wa Mungu Waniruhusu Kupata Wokovu
370Upendo wa Mungu Daima Unabaki Moyoni Mwangu
371Wokovu wa Mungu kwa Mwanadamu Ni Halisi Sana
372Naomba tu Nimpende Mungu Maisha Yangu Yote
374Upendo wa Mungu Ni Halisi Kweli
375Thamini Fursa ya Kumpenda Mungu
376Nampa Mungu Moyo Wangu Mwaminifu